P. Majaribu JF-Expert Member Joined Jun 2, 2014 Posts 1,192 Reaction score 625 Nov 18, 2014 #21 Pasco said: Nashauri Ludo apewe ulinzi mara moja!, wasije kumnyamazisha hivyo akaikatishia story yake njia!. Pasco Click to expand... Mmeshindwa kumpa ulinzi mzee warioba anayetetea maslahi ya taifa,mnataka kumpa ulinzi huyu mjinga asiyejulikana hata ngazi ya kitongoji,kwasababu anaongea ujinga mnaoupenda. NB Msitutoe kwenye mjadala wa escrow
Pasco said: Nashauri Ludo apewe ulinzi mara moja!, wasije kumnyamazisha hivyo akaikatishia story yake njia!. Pasco Click to expand... Mmeshindwa kumpa ulinzi mzee warioba anayetetea maslahi ya taifa,mnataka kumpa ulinzi huyu mjinga asiyejulikana hata ngazi ya kitongoji,kwasababu anaongea ujinga mnaoupenda. NB Msitutoe kwenye mjadala wa escrow