Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,869
Mtunzi Nyemo Chilongani
Sehemu ya 01
"Catherine upo wapi?” ilisikika sauti ya msichana kwenye simu.
“Nyumbani! Kuna nini?”
“Unalala?”
“Ndiyo!”
“Mapema yote hii? Yaani na hili baridi la Arusha bado unalala mapema hii?” aliuliza msichana huyo huku kwa sauti yake jinsi ilivyokuwa ikitoka tu ilionyesha ni kwa jinsi gani alishtushwa kwa kile kilichokuwa kinatokea.
“Nimechoka! Halafu nipo period Amanda!”
“Oh! Kwa hiyo ukiwa period hata kwenda klabu hutaki? Utakula nini kesho?” aliuliza Amanda.
“Nina vijisenti!”
“Kwa hiyo ukiwanavyo hutakiwi kutafuta vingine?”
“Amandaaaaa....”
“Nakupitia hapo! Ngoja niite uber!” alisema Amanda na kukata simu.
Kwa jina aliitwa Catherine Ngolisho. Alikuwa msichana mrembo, mweusi kidogo, mwembamba mwenye sura ya mviringo na lipsi nene ambazo kwa kila mwanaume aliyekuwa akiziangalia alitamani kuzinyonya.
Kifuani alikuwa saa sita, hakuwa mnene lakini kwa nyuma alikuwa na kiwowowofulani cha kiuchokozi ambacho kila mwanaume aliyekuwa akikiona, udenda ulimtoka.
Pamoja na kuwa na uzuri wake, Catherine alikuwa msichana aliyekuwa akiyaendeleza maisha yake huku akijiuza mitaani. Kila siku usiku alikuwa akitoka na wasichana wenzake na kwenda katika Klabu ya Laspinho iliyokuwa katikati ya Jiji la Arusha na kujiuza huko.
Alipata pesa, alipendwa kwa kuwa alikuwa na uzuri wa ajabu ambao uliwachanganya hata watu wengine. Uzuri huo haukuishia machoni tu bali hata kitandani alijua kucheza na mwanaume.
Alicheza michezo yote mibaya, alijua kumdatisha mwanaume, alikuwa na kiuno cha nyigu, alijua kwenda huku na kule, alijua kwenda juu na kurudi chini. Aliutumia mdomo wake vizuri kiasi kwamba kwa kila mwanaume ambaye alimnunua leo, alimuhitaji tena kesho.
Gumzo kubwa likawa kwa Catherine, alikuwa msichana simpo sana ambaye aliyatoa maisha yake kwa kuifanya kazi hiyo kwa kujitoa kwa sababu aliamini ndiyo kitu pekee kilichomfanya kula na kunywa kila siku huku akilipia kodi ya vyumba vyake viwili alivyokuwa akiishi peke yake.