JBourne59 Mzee wetu vijana wako tunakuheshimu sana. Ni kweli tunajua umetingwa sana lakini dah.Ubora wa kazi zako unatufanya tuteseke na arosto kali sana.Tafadhali na wewe jaribu kutumia hekima na busara zako kutupia hata episode mbili tatu kupoza hii arosto.
Unaeza kuta brazee JBourne59 saiz yuko zake paradiso anatuchora tu na arosto zetu,anapiga stori na Jibril(a.s) akisema cheki hawa watu badala wafanye ibada ili nao cku ikifika waje huku Firdaus wenyewe wamekomaa na stori ya kutunga😆

Unaeza kuta brazee JBourne59 saiz yuko zake paradiso anatuchora tu na arosto zetu,anapiga stori na Jibril(a.s) akisema cheki hawa watu badala wafanye ibada ili nao cku ikifika waje huku Firdaus wenyewe wamekomaa na stori ya kutunga