katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,756
Janeth ni mwanamke mwenye urembo wa asili lakini alikuwa anapendwa kwa rangi yake yangozi na sura ndogo ya raundi, macho yake ya kurembua, sauti ya kubembeleza kama kinanda. Umbo lake simple na linavutia kila idara, Janeth alikuwa mwanamke wa kila ndoto ya mwanaume. Tabia yake ilikuwa ninzuri aliheshimu kila mtu na kila rika ila tamaa ilimponza .
Alipata wanaume matajiri sana wanahela sanaaa alipata kila alichokuwa anaota , alikwenda kila nchi anayoitaka yeye bata zake sio za mzaa alikuwa anapendwa sana na huwa alikuwa anajaliwa sana na watu karibu yake. Na alikuwa anahudumiwa kila alichotaka hakuwahi kujua shida nini.
Kuna siku imekuwa giza kwake na majonzi yalianza kila kukicha natatizo ni upweke hakuna mwanaume anayetaka kuwa naye kijumla nikumpa tu cash na wanaondoka. Tofauti na hapo hakuna ndoa na hakuna anayetaka kuishi naye.
Tokea hapo akawa analia tu na kujiona hafai, anakunywa pombe sana, nakuanza kuwa na vijana warika dogo kila kukichaa mpaka sasa ndio life style yake. Akihitaji jambo anapata ila wakudumu naye hakuna kila mtu anasepa tu. Na ndio hivyo tamaa huishia pabaya kwa maana utabaki mwenyewe na kwa mwanadamu ni muhimu ukipata mwenza wa jumla.
Stay Safe