bobefu zoefu
JF-Expert Member
- Feb 15, 2018
- 567
- 425
Watoto wa siku hizi busy na kucheza game tu mambo hayo wanayajulia wapi watuache wahenga sisi kibaba na kombolela
Hahahahahahaha nakujua mmHahahahahaha!!! Umenishinda tabia..
Hahahhaha enzi za kombolela kwenye majumba mabovu kujifichaHahahaa, Shunie sikupatii picha enzi zako
the Legend☆
Ujue watoto wa kigital wanashindwa kufaidi tulivyofaidi bibi zao na babu zao
Karibu tena mkuu Mine eyes
Mine wa shunie huo mguno vipi tena jamani
HahahahahaaaHahahhaha enzi za kombolela kwenye majumba mabovu kujificha
Yaani mnataka kulana halafu mimi hamniiti " Daah huu uchoyo mwingine hata Mungu hautakiHahahaha tater we ulivyo bazazi hiyo kibaba si utanikula
Hivi the legend ulicheza kombolela kweliHahahahahaaa
the Legend☆
Mpaka turudishwe umri nyumaYaani mnataka kulana halafu mimi haniiti " Daah huu uchoyo mwingine hata Mungu hautaki
Sent using Jamii Forums mobile app
Lol kama ndio hivyo " mimi basi " hiyo ya utoto hata sio tamuMpaka turudishwe umri nyuma
Basi tunataka kunywa dawa ya kuturudisha umri nyuma halafu tucheze kibaba
Hahahaa, kombolela ilikua ni moja ya mchezo wangu pendwa. Almost michezo yote ya kitoto enzi zile ilinihusu, mpaka ule 'nivunje kikombe nsivunje? Watu vunjaaa....mwenzenu the legend, watu enhee...mchumba akeee, watu enhee...ni flaniii....' watu weweee. Unaujua huo?Hivi the legend ulicheza kombolela kweli
Hahaa hiyo kunyweni wenyewe .. kufanya matusi ukubwani kuna raha yake bwana ...zile ganzi unazo zisikia simchezoBasi tunataka kunywa dawa ya kuturudisha umri nyuma halafu tucheze kibaba
Pamoja sana mkuu
Hahaaha the legend we utakua muhenga mwenzanguHahahaa, kombolela ilikua ni moja ya mchezo wangu pendwa. Almost michezo yote ya kitoto enzi zile ilinihusu, mpaka ule 'nivunje kikombe nsivunje? Watu vunjaaa....mwenzenu the legend, watu enhee...mchumba akeee, watu enhee...ni flaniii....' watu weweee. Unaujua huo?
the Legend☆