simuelewi

kidaringo

Member
Joined
Jul 12, 2013
Posts
23
Reaction score
4
Jana ilikuwa siku ngumu kwangu,mpenzi wangu baada ya kuishi nae kwa muda wa miaka 3, Jana alinitamkia tuachane anadai mi niko busy sana kiasi sina muda na yeye ukweli tumefanya mambo mengi pamoja tuna nyumba na kiwanja kimoja ila yeye anadai eti tubaki kuwa marafiki na tusiache kuwasiliana! ananitega au?
 
wewe jinsia gani?
mmeoana?
mnasubiri nini kama bado?
 
statement ipo straight foward.
'muachane'.
Tafuta ustaarabu mwengine mdau utapoteza muda wako bure..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…