kaka kweli unamengi haya ni machache tu.ila binafsi nimeelew hili,
1.x unamapendo naye
2.huna imani na mdogo wako unahisi,anaweza akaja mnyosha x au x akajatumia mgongo wa mdogo wako kukuharibia and obviously itakuuma kama atamnyosha.
3.wanaume wenyeroho ya kushare mapenzi na kaka/mdogo au rafiki na asimaindi niwachache/isimuume niwacahche bila kujali wameachana au la!
NOTE.ushauri wa bure,hakuna haja yakumfuatilia mdogo wako nakumuwekea zengwe kisa mapenzi,labda kama mdogo wako limbukeni sana ila hakikisha kiwango cha siri zako nyingine humshirikishi mdogo wako...