Simuelewi mpenzi wangu

bro mbona unazeeka kwa kusubiri chini ya mpapai lidondoke pera? yani kifupi ni kwamc huyo dada hana mpango na wewe, mbma king'ang'anizi hivyo, kha!
 
bro mbona unazeeka kwa kusubiri chini ya mpapai lidondoke pera? yani kifupi ni kwamba huyo dada hana mpango na wewe, mbona king'ang'anizi hivyo, kha!
 
@mh shosti akioa na 38 mtoto wa kwanza atamzaa akiwa na 40? nani atalea watoto wake?

Afadhali useme wewe maana wana kasumba mbaya za kwamba mtu aoe ana miaka 35 kwenda juu bt hawafikirii malezi ya watoto na umri wako unakwenda
 
...ukiona manyoya ujue na digestion process inaendelea...
 
Huko 38 ni umri wa kuwa tayari una watoto kilochobaki unalea tu
Vinginevyo wakati anastaafu akiwa na 60 first born ndio kwanza yuko sekondari, si majanga hayo? Wanaume wengi huwa tunakosea hapo kwenye maisha
 
Kama anakupenda kweli,jalibu kumwambia umepata mpenzi mwingine na unataka umuowe.ili uone atachukuliaje swala ilo.
Taabu yote ya nini? Mtu mzima hatishiwi nyau kaka. Jamaa asepe kivyake hakuna dili hapo. Wadada wanavyochangamkiaga kuolewa halafu yeye anadengua, lazima kuna mahali kajibanza na ndo lilipo Penza lake
 
Jilaumu mwenyewe. Inawezekana huyo dada ulimuomba 0713...... ndio maana anakukwepa.
 
Umri bado mdogo usikimbilie kuoa kijana,subiri walau ufikishe 38................
ot
Umri wa kuoa ni miaka 45; unatafuta ngurubebe lenzako lenye 40 something, mnatulia...tena hivi Tanzania tumepata gas yenye thamani ya $ 400 billion, miaka 20 ijayo tunapata vituo vya kulelea wazee vilivyoenda shule...ukishagonga 60 tu, mdogo mdogo unajivuta Wazee Centre; na kwa staili hiyo hata kuzaa watoto waje kuniletea stress uzeeni sina haja nao....mitoto yenyewe hii ya "dad, u're so disgusting" aaargh; sasa hao ambao hata kuzaliwa bado si ndo watakupa za uso kabisa "fu'ck u dad, why don't u die!" ukimuuliza, anakuambia anatengeneza lyrics. poleni mnaopata stress kutoka kwa ma-kid.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…