Ptheducer15
Member
- Oct 18, 2012
- 23
- 3
- Thread starter
-
- #21
hyo 38 n muda wa kulea watoto na kuwatengenezea misingi mizuri watoto wenu
Afadhali ndg yangu unisaidie maana hawa jamaa hawajui kabisa, sasa ukioa una miaka 38 then huyo tu 1st born mpaka aje aanze la kwanza una 40 na kitu akija kumaliza la saba una 50 na kitu na kama una mipango ya watoto watatu mtoto wa 3 atamaliza darasa la saba una 60 kuelekea 70
Mimi ni kijana wa miaka 28, kwa sasa nahisi umefika muda muafaka wa kuwa na mwenza wa kujenga nae maisha na familia. Kuna mdada ambae nilitokea kumpenda na ninatamani awe mke wangu.kiukweli toka tumeanza mahusiano hatujawahi hata kusex na Tatizo lililopo ni kuwa simuelewi kabisa maana inaweza pita hata miezi miwili hatujaonana na kila nikimhitaji anadai yupo busy nikimuomba niende kwao angalau nimuone hataki na anakuwa anatoa visingizio tu so tunaishia kuwa wapenzi wa kuongea na simu tu na kuchat japo pia sometimes simu huwa hapokei na wala sms hajibu na nikimuuliza mbona unanifanyia ivo mpaka nakuwa sikuelewi anajibu kuwa bado ananichunguza. Tuna miezi minne toka tuanze mahusiano bt nahisi nmechoka na nahitaji nitafute mtu mwingine. Pls naombeni ushauri niendelee kumvumilia au niachane nae?
haiwezekani kwakweli
Basi inabidi tuache kuharibiana cv. Oooooh Karucee mpenzi wangu. Aka mie.
Astaghifiruulah,
Hahaaaa. Dushelelee dushe dushe. Ngoja nikalale I think am high.swadaktaa! Kama watu hamjadinyana marufuku kuitana wapenzi.
Hahaaaa. Dushelelee dushe dushe. Ngoja nikalale I think am high.
kazi unayo...
huyo ana foleni ya akina Excel anaowachunguza!
yawezekana wewe uko mwishoni kabisa! so faili lako huwa analipitia wakati wa kulala akiwa na usingizi mzito!!
by the way, kuchunguzana ni pamoja na mawasiliano... sasa kama unachunguzwa kihivyo... ni zamu yako kuchunguza!
hahahahahahah
dah!kuna watu wanajua kuumiza wenzao!
Umri bado mdogo usikimbilie kuoa kijana,subiri walau ufikishe 38................