Simuelewi mke wa jirani yangu

Ndoa changa bwana.....ama shughuli....
 
Mm nakushauri mfungulie genge la kuyza nyanya na mahitaji mengine ... Mfungulie mkeo hapo utakuwa umemsaidia
 
Huo ni utani mkuu, yaani utani wa wanawake unakuja kuomba ushauri humu ungetongozwa si ungepeleka gazetini au media kabisa, pia wewe sio mwanaume wa kanda ya ziwa, kama ni hivyo bila shaka umetokea kule kwenye tetemeko.
 
Story yako ni ya uongo,unataka tu kujipromo humu,lipia hili tangazo.
 
Woyoooooooo wacha wafaulu mtihani wenyewe
 
Watakuwa walikuwa wanataniana tu mkuu.

Wacha kupelekea akili yako mbali

"Enough of No Love"
 
Hayo ni majaribu unapaswa kuyashinda, iwapo zilikuwa story za wanawake acha ziishie hukohuko kwa wanawake, dhambi ipo mlangoni mwako inakunyemelea nawe wapaswa kuishinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…