Simuelewi mke wa jirani yangu

You're still a little kid. Hivyo tu ndiyo uugue moyo? Ajabu hii!
 
nadhani wewe ndio mkware,unamtaka huyo mke wa rafiki yako,wanawake huongea mambo mengi kwa utaniutani inakuwaje utani wa kike unauleta hapa kama wewe sio mkware?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu wewe inaonekana kukua kwa mwili na akili ni inversely proportional yaan kadri mwili unavyoongezeka akili inazidi kurudi utotoni
😂😂😂😂😂😂
Aisee wacha niamke tu sasa
 
MKE WA JIRANI KAKUELEWAUREFU WAKO JAMAA
SIMPO KAMA ULIVYOANDIKA
AU SIO HONEY 50thebe ?

Honey Money Penny

Wanawake wapo smart sana. Hapo mke wa Mbishi 4 real ametumika kuwa kuwadi bila kujijua. Mwenyewe Mbishi 4 real amenasa mtegoni bila shuruti. Hofu yake ni itakuwaje mkewe aliyetumika kama kuwadi akijua kwamba mbegu aliyoipanda imeoza, sasa inamea na possibly itastawi?

Ukisikia mjini shule ndio kama hivi
 
Unataka kuanzisha kiherehere cha kufikirika tu ndugu yangu! Kwa nini mme wake na huyo demu asilalamike kwamba yeye kaambiwa eti mbengu yake ni fupi?

kutoka: 22D Arnold st.
 


Kabla ya kumuelewa mke wa jirani yako, Je unamuelewa mke wako? "wewe ukija kuzaa mtoto wako hatakua mrefu kama wewe mama yake na badala yake atafuata mbegu ya baba yake hivyo mwanao anaweza akaja kuwa mfupi"
 
Utani wa wanawake unakutoa jasho? Eti wewe naye umeoa na una mke na mtoto.

Uwe unatazama ubongokids TBC 1 ili kujijenga kiakili.
Hahahaha mkuu mbona siku hizi hata watoto wanaoa na wanazaa watoto!
 

Story ya uongo kama unania na jirani yako ipo siku ukifumaniwa utaliwa tigo wewe na mkeo
 
Unajiingiza kwenye masikhara ya akina mama???
 
kweli uko mkoani....wewe na nkeo mnapaswa muwe mshatumbukizwa kwenye shimo la simba mtafunwe......unaazaje kusikiliza umbea wa wanawake...na nkeo nae......jifunze kupiga punyeto....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…