Simuelewi Mh. Rais.

Civilian Coin

JF-Expert Member
Dec 2, 2012
2,305
4,380
SIMUELEWI Mh.Rais

Vipi yale majina ya Ikulu, mbona yanaogopeka, hata kama kuna mtoto wa Rais Mstaafu atajwe tu, yaishe. Hawa vidagaa mnatuhadaa tu.

Deogratius N Kisandu.
Mtemi Kiongozi wa ACA tarajiwa.
 
SIMUELEWI Mh.Rais

Vipi yale majina ya Ikulu, mbona yanaogopeka, hata kama kuna mtoto wa Rais Mstaafu atajwe tu, yaishe. Hawa vidagaa mnatuhadaa tu.

Deogratius N Kisandu.
Mtemi Kiongozi wa ACA tarajiwa.
wewe unayajua hayo majina?

Tukikuita uje utuletee ushahidi wa hayo majina utaleta?
 
Uzi kama huu haufutwi tunaanzisha thread za maana zinaunganishwa Jamii Forums is a joke pumba kama hizi zinaruhusiwa (kisa verified stupid) I have to sleep. I am Sorry
 
Back
Top Bottom