The Magnificent
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,694
- 1,250

Uwakili ni profession, amaruhusiwa kumtetea hata muuaji. Uwakili wake na unasiasa wake ni vitu viwili tofauti. Anachofanya kumtetea Manji si kazi ya chama bali yeye mwenyewe. Ni kama Lamwai aliyewatetea wazungu waliomdhalilisha mwanamke kwa kumkutanisha na mbwa.

wanaharakati kwenye pesa,lol

humuelewi marando?na ringo tenga je?

wakili wa epa people?rafiki yake marando...
Nianze kwa kuwasalimu wakuu!
Naomba ifahamike kwamba mimi ni mwanaharakati na mwanachama wa CHADEMA kwa miaka kadhaa sasa(nimeweka wazi kwa kufahamu fika kuna watu hapa watasema nimetumwa na Nape,Si Kweli..sijatumwa na sifikirii kutumwa kwa vile siipendi CCM,na simpendi Nape as well,make hana jipya!)
Wakuu nirudi kwenye hoja..
Hivi huyu kamanda wetu Marando na utetezi wa Manji imekaaje kaaje? Kwa madai yake ni kwamba Manji ni fisadi dagaa,je..
1.Chama chetu kinaunga mkono mafisadi dagaa?(naamini fisadi ni fisadi tu awe dagaa au papa)
2.Hivi kweli Manji ni fisadi dagaa kama alivyodai Marando kwenye mdahalo?
Ndugu zangu wanaJF,naomba mwenye uelewa wa hii issue anifafanulie zaidi labda mimi ndo sijamuelewa vizuri Mh.Marando.
Honestly naipenda CHADEMA na nahitaji kuona chama chetu kikiwa mfano wa kuigwa kwenye jamii!
Nawasilisha...

kwa maslahi ya chama chako, sikuambii what is behind the scene. labda kazi yake ikiisha ndio naweza kusema.
Maslahi gan? Sema kama una kitu unakifahamu, vinginevyo utakuwa mzushi!kwa maslahi ya chama chako, sikuambii what is behind the scene. labda kazi yake ikiisha ndio naweza kusema.
kwa maslahi ya chama chako, sikuambii what is behind the scene. labda kazi yake ikiisha ndio naweza kusema.

mfano wewe ni doctor,mbaya wako ameleta mgonjwa wake hospital,utamtibu au hautamtibu.isitoshe kesi anayomtete manji siyo ya ufisadi ni mambo mengine kabisa.so si vizuri kupotosha watu.marando anasimamia kesi ya manji dhidi ya mengi.mambo ya ufisadi yanakujaje?.mia

the strongest man olwez go black n white...................huhkwa maslahi ya chama chako, sikuambii what is behind the scene. labda kazi yake ikiisha ndio naweza kusema.

the strongest man olwez go black n white...................huh

Mi nilisema kuanzia cku ya mdahalo kuwa huyu jamaa simuelewi kabisa!
kwa maslahi ya chama chako, sikuambii what is behind the scene. labda kazi yake ikiisha ndio naweza kusema.

Ni kesi ya ufisadi mkuu,wewe ndo unapotosha umma,kwani manji anamshtaki mengi kwa lipi!?
Kaka,hata me naipenda Chadema kama wewe,lakini naiangalia kwa mbali zaidi ili isije poteza mvuto kama CUF!
Acha ushabiki,Jenga hoja mkuu!