Simuelewi mama yangu!

duuuuu wanaume tuna kazi unaweza lea kumbe si wako

Waswahili husema, kila mtu ana uhakika na mama mzazi, lakini baba mzazi mhhhhhh! Ila kuwepo kwa testi za DNA huenda kutasaidia kuleta ukweli kwenye familia kwa yule anayehisi mwana si wake!
 
Mwe huyu shetani sijui atatuacha lini....wanawake na sisi sometimes.....!

Ingekuwa mimi ningetaka mchanganuo aniambie:
1. Huyo anayedai ni baba yangu alizaa naye kabla hajaolewa? (Hapo naweza kufikiria kumsamehe kirahisi)

2. Au alicheat wakati yuko na huyu baba yangu wa sasa hivi (Msamaha uatachukua muda kutoka hapo)

3. Huyu baba yangu wa sasa hivi anahiyo habari? (Kama huyo baba hana habari siendi mahali popote mpaka kieleweke)

Pole mwaya.
 
Imeshakupitia akilini mwako kuwa huenda baba yako mzazi hata yeye pia hajui kama wewe ni mtoto wake??
haijawahi kunipitia, na nadhani haitakuja kunipitia. kama yeye atawaza hivyo, hayanihusu. lakini kukaribisha mtu mwingine mgeni kwa maisha yangu........... no!
hata kama mama yangu angekuwa single parent....... so long as amenilea peke yake na nimekua, what more do I want? just to call someone a father! irresponsible man for that mater.............. no way!
 
wamama wengine nuksi kweli wanaharibu amani/upendo wa watoto wao, atabaki kuwa biological father, aliyemtunza toka utoto mpka kufika hapo ndio baba yake

Usiwe mwepesi kuhukumu! Je wajua nini kilitokea hadi hilo likajitokeza? Ungekuwa wewe usingependakumjua biological father wako?

Ushauri wangu kwa huyo kijana; amuulize kwa undani mama yake what happened, pia amsikilize baba yake mlezi kama alikuwa anajua issue nzima na mwisho akamuone bio father wake! Kuna watu hawana wazazi, yeye ni priveldged coz he has 3 parents!
 
Jiamini - ingawa watu wengi wanamlaumu Mama mara Bailogiko Father sijui nini - lakini hawajui mazingira yaliyosababisha hali kuwa kama hiyo.

Mfano inawezekana kabisa kuwa Baba wa kufikia alimuoa Mama yako huku akijua kuwa ni mja mzito kwa mimba ambaye siyo yake na walikubaliana.

Pili, inawezekana kuwa Baiologiko father alikuwa anampenda sana mama mzazi na hata alitaka kulea mimba ya mtoto wake lakini kukatokea matatizo mengi sana katika familia au kati yake ya huyo mama mpaka mama akaamua kumsingizia baba mwingine! - mm sijui

Tatu, inawezekana kuwa mama alifahamu ila hakumuambia baiologiko father! - mimi sijui

Ila ninachokifahamu - from my personal experience ni kuwa kuna dada mmoja jirani yangu alishawahi kupata ujauzito alafu mwisho wa siku walikuja watu (wanaume) watatu! - kila mmoja anadai kuwa ni mimba ni ya kwake! - tukamuuliza yule dada akasema hajui ujauzito ni wa nani! - baada ya mtoto kuzaliwa na kufanyiwa DNA - ikajulikana kuwa mtoto siyo wa yeyote kati ya wale watatu ila ni wa mtu mwingine kabisa ambae wala hata hana interest na mtoto huyo!

So maisha tunayoishi is very complicated!

Usimlaumu Baiologiko father wala pia usimlaumu baba alie nae ... maana hujui ni kitu gani kilitokea kati yao! - I mean your Mother, your Father & your Baiologiko Father

My advice ... go see him (Baiologiko father) maana hujui kimetokea nini - na unaweza kuta kumbe hata Baba uliekuwa nae nae anafahamu!...

Life .... is very complex my friend!
 
Hivi wakati unapost - ulikuwa kwenye akili yangu?!!!
 
Mwambie huyo baba ni kama machine ya kufyatulia tofali tu! Nitakataka! was he there when you needed the most! Kwanza you dont even need such trash! Limekaa huko linasubiri uende ukaanze kujitambulisha! for what?

Kama anataka akutambulishe kwa huyo Biological father! mwambie unataka na baba yako wa ukweli awepo!
 
yaani wamama sisi jamani!!!

Usiwe na shaka tulishawazoea. Mwanaume mwenye busara hawezi kujihakikishia asilimia mia moja kuwa watoto wote waliozaliwa na mkewe ni wa kwake. Inabidi aache asilimia chache (kama 30%) za kupunguza mshtuko pale atakapokuja kuelezwa ukweli halisi juu wa wazazi wa kibaiolojia wa watoto wote.
 
Mwe huyu shetani sijui atatuacha lini....wanawake na sisi sometimes.....!

Ingekuwa mimi ningetaka mchanganuo aniambie:
1. Huyo anayedai ni baba yangu alizaa naye kabla hajaolewa? (Hapo naweza kufikiria kumsamehe kirahisi)

2. Au alicheat wakati yuko na huyu baba yangu wa sasa hivi (Msamaha uatachukua muda kutoka hapo)

3. Huyu baba yangu wa sasa hivi anahiyo habari? (Kama huyo baba hana habari siendi mahali popote mpaka kieleweke)

Pole mwaya.

Usimsingizie shetani wa watu.
 
Jiamini - ingawa watu wengi wanamlaumu Mama mara Bailogiko Father sijui nini - lakini hawajui mazingira yaliyosababisha hali kuwa kama hiyo.

Mfano inawezekana kabisa kuwa Baba wa kufikia alimuoa Mama yako huku akijua kuwa ni mja mzito kwa mimba ambaye siyo yake na walikubaliana.

Pili, inawezekana kuwa Baiologiko father alikuwa anampenda sana mama mzazi na hata alitaka kulea mimba ya mtoto wake lakini kukatokea matatizo mengi sana katika familia au kati yake ya huyo mama mpaka mama akaamua kumsingizia baba mwingine! - mm sijui

Tatu, inawezekana kuwa mama alifahamu ila hakumuambia baiologiko father! - mimi sijui

Ila ninachokifahamu - from my personal experience ni kuwa kuna dada mmoja jirani yangu alishawahi kupata ujauzito alafu mwisho wa siku walikuja watu (wanaume) watatu! - kila mmoja anadai kuwa ni mimba ni ya kwake! - tukamuuliza yule dada akasema hajui ujauzito ni wa nani! - baada ya mtoto kuzaliwa na kufanyiwa DNA - ikajulikana kuwa mtoto siyo wa yeyote kati ya wale watatu ila ni wa mtu mwingine kabisa ambae wala hata hana interest na mtoto huyo!

So maisha tunayoishi is very complicated!

Usimlaumu Baiologiko father wala pia usimlaumu baba alie nae ... maana hujui ni kitu gani kilitokea kati yao! - I mean your Mother, your Father & your Baiologiko Father

My advice ... go see him (Baiologiko father) maana hujui kimetokea nini - na unaweza kuta kumbe hata Baba uliekuwa nae nae anafahamu!...

Life .... is very complex my friend!

Wow!You are the trully counsellor Dotworld.
I am a student counsellor and that's what we call "COUNSELLING".As counsellors we should help our clients find solutions for their problems and not decide for them.I like this so very much.You are not in my head but my head itself.
 
Mimi ni kijana niliyehitimu kidato cha sita na kuchaguliwa kuingia chuo fulani kikuu huko Dom mwaka jana. Nimelelewa kwa mapenzi makubwa ya baba na mama ambyo yamenifanya niwe na mafanikio sana ya kishule na maisha kwa ujumla. Baba yangu amkuwa na rafiki wangu wa karibu sana na mara kwa mara huwa tunashauriana mambo mengi .

Wiki iliyopita mama alikuja kunitembelea na akaomba jmosi twende Dar. Nilipomuuliza kulikoni kwenda dar akasema eti anataka kunionyesha baba yangu, huyu aliyenilea na kunitunza kwa mapenzi makubwa mpaka leo si baba yangu mzazi! Nimepigwa na butwaa mpaka muda huu.

Naomba ushauri nifanyaje ndugu zangu? Akili inanizunguka.

***** Hii ni email niliyopokea toka maeneo ya Dodoma Kijana akiomba ushauri wa haraka juu ya hayo aliyoeleza*****

Dah, kweli nimeamini ukweli wa nani baba wa mtoto anao mama!Wababa jipangeni aisee. Mi namshauri awe mpole, aongee na mamake vizuri tu, na a demand maelezo yatakayomtosheleza kwa nini hakumwambia kuwa alomlea sio babake mzazi. All in all huyo baba mpya ajipange mana kuupata upendo wa kijana its almost impossible.
 
kimsingi panda gari na mama yako ukamuone baba yako mzazi na kama urafiki uliokua nao na baba yako wa kukulea sidhani kama utaaribika kwa kumjua baba yako wa kweli na istoshe uyo baba yako wa kukulea inawazekana anajua kwamba wewe si mwanawe kwahio face the truth then wait for consequences maana kama huto kwenda si ndiyo kichwa kitapasuka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom