Bado anajipa nafasi ya kusahau uliyomfanyia ili akusamehe.
Halafu na wewe ugomvi wenu sio mnatangaza kwa watu wengine. Inaelekea hapendi kuwashirikisha watu kuhusu mgogoro wenu ndio maana anawajibu hivyo.
Komalia baba usamehewa.
Halafu usijaribu kuuvunja moyo wa mwanamke maana kuuona ufalme wa mbinguni itakuwa ngumu.
Pole eeh.
mhh apigwe biti sio?so much for a woman's advice....lol
Womens womens womens......
The biggest mystery about women ni kuwa hawapendi kukueleza tatizo...
Wanataka wewe mwenyewe mwanaume ugundue tatizo lipo wapi....
Its funny but hivi ndivyo wanawake walivyo.....
Hapo ni ishara kuwa kuna tatizo bado,na wewe hujajua tatizo lenyewe hasa ni nini?????
Labda kwanza mpe space..........mwache kwanza atafakari...............
Asante mkuu.
Mkuu sio kwmba napenda kuwaambia watu, mi nishaongea hadi nimechoka, nimepiga simu hadi basi, nimeshamwaga sera zangu zote still zimegonga mwamba, so nikaona niombe External msaada.
Rafiki pole sana, najua mapenzi yanavyoumiza hasa kwa wanawake ambao hawatake serious n love kama unavyopendelea. Hapa kuna mambo ma2,
1. Yawezekana kuna mtu anataka kukuzunguka na yeye anasubiri akofirm ili akupige chini.
2. Pengine anakutega aone misimamo yako. Ushauri, fanya technic follow up mawasiliano na male wengine ila usisuspect kila kitu kuwa mtulivu na busara unapokuta tofauti. Pia usipende kuexpose matatizo ya mahusiano yake wengine huwawanachukulia weaknes point. Si unakumbuka mambo ya john terry! Vilevile matatizo ya mahusiano ni ya nyinyi wawili na ninyi ndo suluhu, mtu wa nje zaidi atawakejeli tu na pia mnakuwa mnamwaga mchele kwenye kuku wengi. Al the best.
Mkuu,
Kama umetumia jitihada za binafsi zikashindikana kuwa tayari kwa maamuzi magumu, kwanza mpe muda kuona kama na yeye atakusamehe kwani nadhani na yeye ndio amekupa muda ndio maana anajaribu kukupima. Ikionekana mabadiliko yanazidi jaribu kuwa busy na kazi na maisha upate kumsahau kwani kama anakupenda kweli atarudi kama hakupendi ataendelea na maisha yake. Akifanya hilo basi fanya maamuzi magumu kwani relationship are social contracts (ijapokuwa watu wengi hawalijui hilo) hatutaki watu waachane but ikiwa haina budi huna jinsi. Kwani ni ngumu sana kulala au kuishi na mtu asiye na mapenzi na wewe. Move on na wewe utapata tu atakayekuwa anakupenda.
Kwani kua mwanamke kunanilazimu kua upande wa mwanamke mwenzangu hata kama yeye ndo anamtenda mwenzake vibaya?I'm just being honest with the guy!Kama huyo msichana anamchezea tu mshkaji ataendelea hivyo hivyo kwasababu anaamini mshkaji hana msimamo ataendelea kulia lia tu!
Wandugu, :sad:
Ni GF wangu ambaye kwa kipindi kirefu ka miez 3 hivi tumekuwa kwenye mis'understandings, na nimemuomba sana msamaha but amekuwa mgumu kunisamehe.
Cha kushangaza ni kwamba kila akiongea na rafiki zake au dada yake anawaambia kuwa tumeshasolve na ku-clear our differences, but ukweli ni kwamba bado hajanisamehe.
Sasa juzi kati kaniambia kuwa Amenisamehe lakini hawezi kuwa kwenye relationship tena, ikabidi nimuombe rafiki yake anibembelezee, cha ajabu alichomwambia huyu rafiki yake ni kuwa mimi na yeye hatujaachana.
Wandugu kwa kweli huyu mtu ananichanganya sana, maana ki ukweli ni kwamba nampenda sana huyu binti na yote haya mimi ni sababu, lakini nimeshatubu. Sometimes nafeel ni give up, but naamua kuendeleza mapambano.
Nashindwa kabisa kuelewa msimamo wa huyu GF wangu, labda nisaidieni wandugu, hii tabia inaashiria nini? Shud I move on or ni-stick no mata wat?:sad:
inaonekana hukuelewa au upo tofauti.....
mtu amekiri kuwa ni yeye ndie aliekosea in the first place....
sasa hapo mwanamke ana haki ya kudeka na kudeka...
inachotakiwa mwanaume atafute njia sahihi ya kumfurahisha na kumsahaulisha
sio kupiga biti......
Womens womens womens......
The biggest mystery about women ni kuwa hawapendi kukueleza tatizo...
Wanataka wewe mwenyewe mwanaume ugundue tatizo lipo wapi....
Its funny but hivi ndivyo wanawake walivyo.....
Hapo ni ishara kuwa kuna tatizo bado,na wewe hujajua tatizo lenyewe hasa ni nini?????
Labda kwanza mpe space..........mwache kwanza atafakari...............