Simuelewi huyu mpenzi wangu

ESPIRIT

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2014
Posts
665
Reaction score
524
Muda mrefu ni kuongea na simu na mama yake. Inafika wakati hata mama yake anamtumia hadi fedha za matumizi. Hii si kunidhalilisha?
 
Wewe unampa hela za matumizi za kumtosha?
 
Ni mpenzi au mke?

Kama ni mpenzi tu jua huyo siyo msaliti na hapendi kukupiga mizinga....kama ni mke jua basi wewe ni fara, tena farasi
 
Wewe unampa hela za matumizi za kumtosha?
Sina kipato cha kusema ni cha juu sana lakini kwa maisha ya kawaida kinatosha. Hatuwezi kulala njaa au kukosa mavazi
 
Sina kipato cha kusema ni cha juu sana lakini kwa maisha ya kawaida kinatosha. Hatuwezi kulala njaa au kukosa mavazi
Na mama yake akimpaga hela anaziingiza kwenye bajeti yenu bila shida?
 
Muda mrefu ni kuongea na simu na mama yake. Inafika wakati hata mama yake anamtumia hadi fedha za matumizi. Hii si kunidhalilisha?
Kuna ZoGo Unaundiwa Mkuu Shituka Hamna Combination Mbaya Kama Mtu Anayeitwa Mke Na Mama Yake
1. Itakuwa Hizo Pesa Kuna Plan Wanazifanya May Be Kujenga Kimya Kimya Dhen Zik Tik Unapigwa Chini
Mkuu nakupa Dedication Ya Wimbo Wa RayVany "Shituka Unaibiwa"

"NeVeR_sAy_NeVeR"
 
Upo sahihi mkuu. Mawasiliano ya Siri Siri kati ya dada/mama + binti yake kwa sehemu kubwa huwa ni mipango ya kumtenda mume.
Katika mazingira hayo mke/mpenzi wako huwa mkali sana ukijaribu kuisogelea simu yake.
 
Aise ni kweli wanajenga yey na mama yake, ndo napata taarifa ili hali baba mkwe yupo na hajui. Baba mkwe yupo Shinyanga muda sasa na huyu mpenzi wangu anasema ni muda mrefu umepita hawajawasiliana hata na mama yake mzazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…