Simuelewi huyu demu

hussein boxer

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
832
Reaction score
335
Kuna binti anaishi na dada yake pia anamsaidia dada yake kuuza msosi kwenye mgahawa wao.

Sikuwa na tabia ya kula gengeni ila nikaanza kula gengeni baada ya kumpenda huyu binti aliyekuwa akimsaidia dada yake kazi.

Nikamuomba namba ya simu hakuwa na simu ikabidi nimpatie simu moja maana nilikuwa na simu mbili.

Tulianza kuwasiliana nikamtongoza akasema yeye bado ni mdogo hawezi kuolewa kwa sasa niache kumsumbua.

Leo nimempigia kumkumbusha ombi langu anadai anaye mchumba huko kijijini kwao na mahari imeshatolewa anaenda kuolewa.

Swali ni kwamba je, atakuwa ananipima na kunikatisha tamaa au nikomae nae?
 
Anakupima huyo angekuwa na mchumba si angempa simu wawasiliane?

kweli inawezekana ila mbona nikitaka kuongea nae live huwa ananipiga chenga anataka tuchat au nimpigie simu tu?
 

Duh! Mademu wa mgahawani...
 
Sina mpango wa kumpokonya nikitoa huwa sipokonyi au kudai tena
 

wewe mwambie kesho kutwa na wewe unapeleka barua kwao
 
you sound gentleman. Usikate tamaa. Endelea mfuatilia. Utampata.
 
komaa tu ataelewa...
huyo nae simu apokee afu ajitie ana mchumba pambafff zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…