luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,361
- 6,966
Sijawasiliana nae kwa njia direct call siku ya 3 sasa nikimpigia simu yake haipokelewi, ukituma text Whatsapp mpaka ijibiwe inachukia hata siku nzima.
Nikaamua kula buyu niendelee na ratiba zang, ghafla akanitafuta akaniambia sorry nilikuwa busy sanaa na issue za ukaguzi, kweli akabadilika akawa anani cheki hewani na kunitext for some days often gaflaaa kabadilika tena karudi kule kule katika ubusy wake.
Walaai laadhim simuelewi huyu mtoto ana rukaruka kama maharage motoni.