estlyjonathan
Member
- May 26, 2016
- 84
- 122
Kwa kuku-follow au kukufuatilia kwenye mitandao ya kijamii kwako inakupa maana gani..??? Au kuna ambalo hujasema?Miaka ya nyuma nilikuwa na mahusiano na mpenzi wangu tulibahatika kupata mtoto 1 lakini bahati mbaya tulikuja achana kila mtu akaendelea na maisha yake, huyu mzazi mwezangu akaja kupata mwanamke sasa nakuja kushangaa huyu mwanamke anapenda sana kunifwatilia kwenye mitandao ya kijamii hivi ninavyoandika kani request kwenye FB kwa mara ya pili, instagram alini follow sasa sijui ni nini tatizo kwa wale wenye kujua ni nini lengo la huyu mwana mama mana nshamchoka
nawe unaloho mbaya yani unasokomeza kabisaFanya yako asikuumize kichwa,kama bwana anae yeye na wewe humtaki tena sasa hiyo Bp yakukutafuta wewe ni yanini?
achana nae.
Mpotezee usiweke attention kwake
amupotezee kwa vidogo,zamasiku mukuu yuko wapi kimambi ?Mpotezee usiweke attention kwake
nawewe nae si usomage vizuli yarioandikwamoAnakufatiliajee kwan mtto umuhudumii!! mana mkishazaa jua mmeshaunganisha damu ni ngumu kutengana mm naona hamna tatizo kukufollow punguza uswahili kwan alishawai kukwambia mludiane we endelea na yako
Nimesoma vzr ndo mana nimecomentnawewe nae si usomage vizuli yarioandikwamo