Simuamini tena mke wangu!

PesA aliyotumia ndugu zake ulimpa?au kaitokea jasho.hahhaha wanaume bwana.we unafanys kazi mbona hujatwambia pesa unapeleka wapi? Inaonekana hata hapo nyumbani hujui wanachokula wanatoa wapi na ndio mana kakujibu hiv yo na ndio maana kaamua kudeal na ndugu zake
 
hebu rudi kwanza kajifunze kuandika ndipo uje uonyeshe ujinga wangu.
kama huwez kusoma na kuelewa basi usijibu manake ukijibu utajibu makosa.
Ujinga ni pale unaposema kipato cha mkeo ni chake mwenyewe na Ana hiari ya kkpa au kutokupa! Kwa maana nyingine ni kuwa anahiari ya kuhonga mtu mwingine aule wakati familia inateseka. Huu ni ujuha full stop!
 
Wakuu hapo ndo nashindwa kuelewa ile kauli mbiu ya haki sawa kwa wote, likija swala linalohusu majikumu ya kifamilia yanakuwa ya baba peke yake! kwenye kipato anataka ajue chako lakini zake hazikuhusu! Nyumba ndogo zinaibukia hukohuko, manake msela ana donge limemkaba anaamua kwenda huko, japo sio option nzuri. Anyway bro, maadam umeshamjua we komaa watoto wako wasome, wala usiwaze sana. Mie mzee wangu katusomesha watoto wote wa5 na alikuwa ananunua mpaka chumvi na mama ni mtumishi. Lakini mwaka wa 40 huu bado wapo na mama wanadunda.
 

I can see some facts here hasa kwenye red!
 
1.muahamishie dar ama wewe uhamie huko,kama umeahirisha kumhamisha unaongeza uwezekano mkubwa wa kukusaliti katika ndoa na hapo itakuwa ni mbaya kuliko hili.
2.huyo mwanamke tayari ameshaingia jeuri,na kamwe jeuri ya mtu huwa haimalizwi na ushauri,bali atakutana na dunia ndio itamnyoosha lakini kwa sasa hawezi kukusikiliza bali ataendeleza jeuri kwako.
3.watoto wasomeshe,usimwingize tena kwenye mahesabu kuwa atakusaidia,una wajibu wa kuwatunza watoto wako na kuwasomesha lakini mwenzio ashaingia mawazo ya kijinga na hapa ndo wanawake huonyesha jeuri yao.
 
mchoyo tu huyo ! ila kuna watu wabinafsi sana...yaani nimenotice kitu kimoja watu wanakipuuza ukikosa mwenzi mkarimu asie na choyo moyoni ....utateseka sana
hawa watu wa changu ni changu hawa ???? ni noma
 

Nahisi kuna vitu vya chinichini unavyovifanya bila kumshirikisha mkeo, sasa amegundua ameamua ku-revange. Au amegundua una nyumba ndogo, ameamua asiwekeze kwako, ameanza kuchukua chake mapema.
Au matumizi yako hayaeleweki, hela yako haijulikani inafanya nini.
Nakushauri jitathmini kwanza wewe mwenyewe kabla haujamuukumu mke wako.
 
umenena kongosho,kula gwala kwanza!binafsi mamaangu amekua msaada mkubwa sana kulko dingi,kafight mpaka leo npo chuo kwa jasho lake,angeamua kuwa mjinga na mbinafsi km huyo mke wala ncngefka hapa nlpo.Wanawake badilikeni,wapen sapoti waume zenu wakwamapo kwa ustawi ya familia.
 

whaat?
 

Mimi hii naiunga mkono,logic ya yeye kutafuta kazi ni nn? Si ili msaidiane sasa kapata anakuongezea garama za kumfata huko mara.Aache kazi au uhamisho hapo mara moja.
 
Sure, hata mimi nimekosa ushauri.....
Pole sana Mkuu...Inauma sana kuona mkeo yuko tayari kuona mwanenu anaacha shule kwa madai naye hapa pesa na hapo hapo una ushahidi wa yeye kutuma pesa chungu nzima kwa nduguze. Sijui hata nikushauri nini Mkuu...Pole sana.
 

! Siyo lazima pesa za mwanamke ziwekwe kwenye kapu la familiaaa! Labda kama kuna MAKUBALIANO hayo! Otherwise kama ni mwanamke mwenye BUSARA na HEKIMA atamsaidia mumewe kwa hili na lile! Otherwise otherwise otherwise pesa zangu ni zangu na zake ni zetu.kuna baadhi ya wanaume ukiwaendekeza kwa hilo hata kyupi hununui! Mweh!
 
Najua kiasi gani anapata na anaweza kumlipia huyu mtoto isitoshe hata elimu aliyonayo nimechangia sana mpaka anafikia hapa alipofikia! Baada ya kugraduate na kukaa home huku ajira zikiwa magumashi hatiwae fursa ikapatikana huko tukashauriana kulikoni kukaa nyumban bora aende huko halafu tutafanya uhamisho mabadiliko ya kitabia yameanza ndan ya miezi miwili hii ya karibuni! Anyway sintojali sana
 
Mkuu, mi nakushauri hivi, mwambie aache kazi na awe mama wa nyumbani, hi italeta heshima hata kwao cause hadi pichu itanunuliwa kwa cost code yako.
 
Mimi ni money monger ila kwenye suala la (uchoyo kwenye hela lakini) sina. Haswa kugharamia familia, mradi tu isiwe kuchezewa fix. Nahakikisha umeshindwa kweli, ndipo na support. Na suala la elimu ya mtoto sina masihara!
Huyo mwanamke hakufanya sawa kama anazo hela lakini. Pengine kamaliza na wewe umemstukiza!

Kusaidiana ni vzr ila isiwe sheria kwa mwanamke kubeba jukumu hilo la mwanamme.

Na wewe pia jipange kaka kuweza kuihudumia familia. Ukweli utabaki palepale hilo ni jukumu lako na usibweteke!

Kauli aliyoitumia mkeo, ndio sijaipenda na labda kama mlikua na kaugomvi huko nyuma.
 
.........
Nimfanyaje mke wa namna hii?

.........
Pole sana Swaiba!
Unajua bhana uyo mkeo bado anamawazo ya kugawa majukumu ya mume na mke bila kuzingatia kusaidiana kwa mtoto wenu wenyee!
.........
Huyo {mkeo} usimfanye lolote!!!
KUTAMBUA TU unaishi na mtu kama uyo ni silaha tosha ya kukufanya ujipange na kuandaa mikakati mizuri kwa mwanao!
Just mkumbushe tu, kama anavyofanya sio fear!
 
Mgema vyake huwa haviliki.

Hahahahahaaaaa vinalika ila ujue namna ya kuvila... sio unakuja na mihasira huko, leta mshahara wako, mbona unafichaficha, ukiambiwa school fees unajibu huku uko mlangoni c ulipe wewe kila siku mm! khaa utavila wp! Vitajenga nyumba za watoto!
Ukibembeleza ukajua kumtreat mwanamke hela unaila wala haina kokoro iyo! Mbona wanaume weengi hapa town wanaishi kwa kutegemea wake zao? Ni maelewano na mapenzi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…