SIMU ZINAUZWA Huawei Ascend Y200 na Nokia E71

SIMU ZINAUZWA Huawei Ascend Y200 na Nokia E71

ngosha2011

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
681
Reaction score
87
Ni used lakini zipo kwenye hali nzuri.
Nokia E71 Tsh 120,000=
Huawei Ascend Y200 Tsh 140,000=
SIFA ZAKE NA PICHA UNAWEZA KU-GOOGLE
Maana natumia simu nimeshindwa kuweka.
ni Pm au Nicheki hapa 0656513032
 
Mimi nina Huawei Ascend Y300
Ime unlock kutumia mitandao yote
Used miezi 3, haina tatizo wala michubuko. Bei 160000/=
Nipo Dar
 
watu sijui wanashindwa kuweka matangazo yao,au mpaka akina flani waanzishe ndio mje na nyie kuweka bandiko lako?lakini poa ndio biashara zilivyo
 
mkuu Mkweli77 mbna una mambo ya kishamba.?kwanini usingeanzsha thread yako.?

hauon kama huo ni uchokozi wa wazi kwa bwana ngosha2011 .?

kuanzisha thread ni bure tu sio ishu hzo bhana..

nimeshangaa sana mkuu,ila basi kila mtu na ridhiki yake na isitoshe bidhaa tofauti@Somji Juma
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom