Simu zinauzwa bei nafuu

Simu zinauzwa bei nafuu

SectionTwenty

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2013
Posts
675
Reaction score
614
ni Ideos Google-$90,nokiac3-$75, nokia c5-$100, Nokia xpressMusic zipo mbili pia zinauzwa. simu zote zipo katika hali nzuri na hazina tatizo lolote.
mawasiliano zaidi piga 0714499248 nipo DSM.
 
ni Ideos Google-$90,nokiac3-$75, nokia c5-$100, Nokia xpressMusic zipo mbili pia zinauzwa. simu zote zipo katika hali nzuri na hazina tatizo lolote.
mawasiliano zaidi piga 0714499248 nipo DSM.

hizo bei kwa dola unauzia waingereza au watanzania!!!??...
 
hizo bei kwa dola unauzia waingereza au watanzania!!!??...

ngoja nkutoe ushamba kabla cjaukujibu... waingereza wanatumia pound sio dollar,dollar wanatumia wamarekani kilaza wewe.
 
ngoja nkutoe ushamba kabla cjaukujibu... waingereza wanatumia pound sio dollar,dollar wanatumia wamarekani kilaza wewe.

na kama unajua dollar wanatumia wamarekani kwanini umeweka kwenye Forum ya waTZ.?

ushamba bhana..

niuzie c5 kwa 100000...
 
Huo ni wehu Tz shilingi wewe unatuletea mambo ya dollar wakat wengne hatujawahi hata kuziona
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1376826959164.jpg
    uploadfromtaptalk1376826959164.jpg
    9 KB · Views: 153
Palin dollar inabadilishka kuwa tzsh.
We sema una sh ngapi🙁🙁:thumbup:😕:thumbup::thumbup:
 
Back
Top Bottom