M masafi JF-Expert Member Joined Aug 4, 2015 Posts 710 Reaction score 691 Sep 15, 2015 #21 Nimekupata chifu
Pancras Suday JF-Expert Member Joined Jun 24, 2011 Posts 8,144 Reaction score 3,848 Sep 15, 2015 #22 golota said: ina maana bila youtube siwezi kujua? naomba jibu lililoshiba Click to expand... stephot said: Hata mimi waheed SUNDAY nahitaji majibu ya maswali ya golota Click to expand... Ndo maana nikatoa option ya pili ya techradar.com, hii haihitaji streaming ni kuperuzi kwa kusoma maelezo. Hawa jamaa wa techradar na cnet huwa nawakubali sana reviews zao ingawa bado kuna site nyingi wanazofanya review za simu Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
golota said: ina maana bila youtube siwezi kujua? naomba jibu lililoshiba Click to expand... stephot said: Hata mimi waheed SUNDAY nahitaji majibu ya maswali ya golota Click to expand... Ndo maana nikatoa option ya pili ya techradar.com, hii haihitaji streaming ni kuperuzi kwa kusoma maelezo. Hawa jamaa wa techradar na cnet huwa nawakubali sana reviews zao ingawa bado kuna site nyingi wanazofanya review za simu
gnassingbe JF-Expert Member Joined Jun 14, 2015 Posts 4,826 Reaction score 3,585 Sep 15, 2015 #23 Ben Nyoni said: hapa ni mwendo wa TECNO tu picha bombaaa! Click to expand... Bora huawei.