Simu za Techno kwa bei a chini

ERIK

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2013
Posts
623
Reaction score
315
Habari,

Nauza simu mpya aina ya tecno kwa bei za chini au bei za jumla,
Simu zina warrant ya mwaka mmoja na ikitokea imekusumbua au ukihitaji kufanya service utafanyiwa katika vituo vya Tecno (calrcares)

Kwa mahitaji ya matumizi binasfi au kufanya biashara naomba nicheki DM au 0658644485 kwa picha na maelezo zaidi

Camon CA7 ni 230,000
Camon CX ni 240,000
Camon Spark2 ni 220,000

Kwa maelezo zaidi mahitaji au kupunguzuiwa bei naomba nicheki kwa simu 0658644485
 
unazo hizo hizo mbili tu? picha wapi? unadhani wote wataenda google kuzitazama au wanaozijua?
 
Hizo ndo bei za jumla mkuu???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…