Kivipi mkuuCHIEF MKWAWA. Huyu jamaa ana-point au hana?
Huyo muulize kuhus ma-xiaomi tu ni dalali kabisa muombe akupe na link ya group lao la TelegramCHIEF MKWAWA. Huyu jamaa ana-point au hana?
Kuvimba betri baada ya muda fulani ni kawaida sana.Simu zao zinafika hadi 5000mAh halafu unasema betri ni vimeo? Be serious
NAKAZIA HAPASimu ikiishakuwa na stock android inakuwa kama pepsi iliyitolewa gesi.