M Museven JF-Expert Member Joined Aug 22, 2011 Posts 629 Reaction score 452 May 15, 2013 #1 Simu za kichina sio simu kabisa aisee! Ya kwangu imeanguka kidogo tu basi camera imepasuka,redio imevunjika, credit zote zimemwagika, phonebook imechanika, picha zilizokuwemo zote zimepeperuka na watu kwenye facebook woote wamejeruhiwa!!
Simu za kichina sio simu kabisa aisee! Ya kwangu imeanguka kidogo tu basi camera imepasuka,redio imevunjika, credit zote zimemwagika, phonebook imechanika, picha zilizokuwemo zote zimepeperuka na watu kwenye facebook woote wamejeruhiwa!!
ThePromise JF-Expert Member Joined Mar 24, 2012 Posts 210 Reaction score 50 May 15, 2013 #3 Hongera kwa kua na simu kubwa kiasi hicho!
A aduwilly JF-Expert Member Joined Mar 11, 2009 Posts 1,191 Reaction score 320 May 15, 2013 #4 kwa jinsi hii, serikali itarudia sana tu kusahisha mitihani ya kidato cha 4
D dotcomlady Senior Member Joined May 2, 2013 Posts 137 Reaction score 11 May 16, 2013 #5 Na JF je imeganyika Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums