Simu za Kichina

Simu za Kichina

mdeesingano

Member
Joined
Aug 12, 2008
Posts
64
Reaction score
19
Kwanini kwenye simu nyingi za kichina kunakua na web browser ila ukijaribu ku-connect internet inagoma!?

Kuna mwenye settings za internet kwenye simu za kichina!?
 
taja mtandao then 2kupe IP ADRES, APN na PROXY then ukajaze kwenye seting mambo yatachuchumaa yenyew
 
Back
Top Bottom