Simu za kampuni ya d-light

Simu za kampuni ya d-light

Kuna jamaa walimpanga akakubali kuchukua sim kwakianzio Cha sh 55000. Alipochukua akasomewa bill ikawa inasoma Kama 290000 wakati sim Ina uwezo Kama wa Vodafone tu akaachana nap akapaki. Now anapanga kuiflash Kama itakubali aendelee kuitumia kufidia Ile 55000 yake.
 
Kwani kutumia mpaka ulipie
 
HHaziuzwi Kwa cash Huwa wanakopesha Kwa mfumo wa Kama Ile wa mobisol, sunking, Zola n.k yaani unalipa kianzio baada ya hapo unalipa 1200 Kila siku Kwa mwaka. Kwahiyo usipolipa huitumii na wengi huishia njiani Kama mleta mada
Dah kumbe hizo sio za kununua kwa wapenda slope
 
Kuna jamaa walimpanga akakubali kuchukua sim kwakianzio Cha sh 55000. Alipochukua akasomewa bill ikawa inasoma Kama 290000 wakati sim Ina uwezo Kama wa Vodafone tu akaachana nap akapaki. Now anapanga kuiflash Kama itakubali aendelee kuitumia kufidia Ile 55000 yake.
Yaan acha mkuu. Halaf yngu ni sumsung kali hatar
 
HHaziuzwi Kwa cash Huwa wanakopesha Kwa mfumo wa Kama Ile wa mobisol, sunking, Zola n.k yaani unalipa kianzio baada ya hapo unalipa 1200 Kila siku Kwa mwaka. Kwahiyo usipolipa huitumii na wengi huishia njiani Kama mleta mada
Yaan acha tu
 
Back
Top Bottom