Ungetaja changamoto zake pia. Niliwahi kumiliki moja zina limitations. Software update hadi eti uweke sim card ya docomo. Halafu as far as I kmow Docomo ni cellular network so brand yoyote inaweza kuwa docomo, kama.ilivyo simu za AT&T nazo huwa zina kipengele. Kuna mtu aliwahi niuzia iphone kitambo ya AT&T nilipoireset kumbe ina lock ikarudi aisee