uhakika zaidi ni kwenda kwa authorised dealers hawa japo bei yao ipo juu kidogo, utapata warranty na uhakika wa bidhaa. mfano samsung wapo kkoo kamata (msimbazi mwisho kama unaenda kurasini, wapo jmall mjini.
Thanks.
Nina maana ina uwezo wa kusoma kutoka ktk NFC Device/Card
Writer In uwezo wa kuandika ktk Card husika (si rahisi kuwepo kwenye simu ila nimeweka in case ipo ambayo sina taarifa zake)
Unaweza kunisaidia kwa cheapest brand zenye NFC reading capabilities ambazo zinapatikana Tanzania