Sina Uhakika kama kuna Android Phone yenye NFC Capability but Simu gani zinazopatikana kiurahisi Bongo zina NFC card reader (or writer) na estimate cost yake?
swali zur kaka maana hata yangu ina NFC ila cjui kazi yake, kwa anayefaham atujuze ili na ss tuitumie
nfc ni technology kama bluetooth ila utofauti wake ni kwamba haihitaji kupair, ukigusanisha/kueka karibu vitu vya nfc automatic vinapair hivyo unaweza itumia kwenye mambo mengi kama kulipia bidhaa (apple/samsung pay), kufanya simu kama ufunguo wa mlango (uwe na kitasa cha nfc),nk
Thanks.Almost simu zote za reputable brand zinazo, flagship za Samsung kuanzia galaxy s3 zinazo.
Na unaposema nfc card reader unamaanisha nini?
yap p8 lite ina NFC unaweza kuhakikisha hapaKaka umenifumbua uso ulikuwa usingizin tena usingizi mzito kabisa naomba kama kuna la ziada nipolomoshee hizi nondo- kwa sim yangu ya sasa haina hii kitu ila nimeagiza Huawei P8 Lite sijui nitakuta hii kitu humo
kwa faida ya wengi kaka endelea kutuelekeza
Thanks.
Nina maana ina uwezo wa kusoma kutoka ktk NFC Device/Card
Writer In uwezo wa kuandika ktk Card husika (si rahisi kuwepo kwenye simu ila nimeweka in case ipo ambayo sina taarifa zake)
Unaweza kunisaidia kwa cheapest brand zenye NFC reading capabilities ambazo zinapatikana Tanzania
Install NFC app yoyote from Playstore ikiweza kustart bila error wala warning ujue ipo.Vp ya kwangu ni garaxxy s5 mini vp inayo mkuu au haina nisaidie!
Najua hayo. Nilihatji kujua list ya Simu zenye NFC capabilities zilizopo Bongo na bei zake. Sio mjuzi sana wa mambo ya bei na availability yake Tz (sina mpango wa kuagiza nje)Android phones nyingi sana zina NFC, toka nimetumia Android kuanzia 2.3 hadi leo 6.0 nishawahi kukutana na moja tu isiyo na NFC. Kuhusu reading and writing NFC tags kuna app play store inaitwa NFC tool inafanya vyote hivyo.
Install NFC app yoyote from Playstore ikiweza kustart bila error wala warning ujue ipo.
Hata hivyo kwa Tz bado NFC sio killer feature. So unaweza kuipotezea tu unless una NFC equipment unahitaji kuitumia huko!
Stefano Mtangoo, CHIEF MKWAWA Nitajuaje kama simu (Smart Phone) yangu inayo hiyo NFC.?!
Ahsante. Naomba nikusumbue tena. Duka gani una recommend kwa simu maana yapo mengi sana kwa Bongo!