Felix Aweda
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 507
- 145
Simu ya Techno H5. Umeelewa ndg?h5 nn jmn
Hapana ndg nili reset factoryToka umeinunua?
Nimeformat imefuta kila kitu kilichowekwa baada ya kununua na nikaanza moja kudowload upya kila kitu na bado Inatatozo. Nikaweka WhatsApp ya nje ya play store bado inasumbua. Naweza kupiga picha au nadownload kitu but baada ya mda inaandika bad format na haifunguki tena. Hata video inakaa mda zingine hukataa kufungua tena.sasa tecno zina ttz moja la kuathirka na virus sn ebu nenda kajarbu kuiformat
Nilifanya hivyo na pia natumia WhatsApp ya opera haitaki. Hata Facebook inakataa. Bluetooth pia nikituma chochote haitaki. Data iko poa.nenda kwenye application,goolge play halafu click unistalling halafu kadownload tena ikigoma niambie
Internet. Net iko poa. Naperuz mambo mengi ila. Picha,videos,screenshot, na audios zinagoma kusoma.huenda ni setting za wap
nenda setting then more network then mobile network then acess point name then angalia setting zako ni wap au internet au web
Internet. Net iko poa. Naperuz mambo mengi ila. Picha,videos,screenshot, na audios zinagoma kusoma.
Samahani mkuu. Nilimaanisha kuwa setting ni Internet. Kama kuna haja ya kubadili niambie.hilo ndio tatizo la setting za wap fanya nilivyokuambia.
setting za wap ni kwa ajili ya simu za zamani hazifanyi kazi vizuri kwenye smartphone sababu zinakuwa na proxy
Hilo liliwahi nitokea Nika back up vitu vyangu kisha nikiformat (factory reset) likapotelea mbali.tatizo la sms kujirudia au kuja kila wakati japo sms nishaisoma! shida sana!
nenda kwenye google play andika gogole play ,itakuletea option nyingi chagua update option ya update google play halafu bonyeza ikikataa unicheki,download upyawhatsappNilifanya hivyo na pia natumia WhatsApp ya opera haitaki. Hata Facebook inakataa. Bluetooth pia nikituma chochote haitaki. Data iko poa.
Mkuu nashukuru kwa ushauri wako. Nilifanikiwa kupata update ya Google play nika download. then nikafuta WhatsApp na vingine kwa njiia ya Reset data factory. Then nilidownlod upya WhatsApp ikawa inafanya kazi vizuri. Nikushukuru tena na wadau wengine ambao walitumia mda wao kusoma post Yangu na kutoa mchango wao wa mawazo kwa minajili ya kunisaidia. Stay blessed all of you.nenda kwenye google play andika gogole play ,itakuletea option nyingi chagua update option ya update google play halafu bonyeza ikikataa unicheki,download upyawhatsapp