anthony kasile
Member
- Nov 20, 2015
- 90
- 16
simu yangu aina ya tecno p5 nikiwasha data naikaanza kufungua browser inaleta kitu kinaitwa core service yan huwez access net kwa raha ikimalza inastack alafu ata kama kuna bando la mb100 halichukui hata dakka mbili linaisha na vitu vinajidownload lenyewe bila wewe kutaka nimesha refractory lakn tatzo lko palepale sasa nifanyeje