Simu yangu inapata moto


Umejibu kitaalam sana mkuu. Ubarikiwe
 
Habari JF store natumia Huawei y 300 tatizo linakuja inapata sana moto napoiweka kwenye charge au pale napoitumia hasa betri ndo inayopata sana moto..Msaada tafadhali.

vipi lakini umeshaa jaribu kuiweka kwenye frij ikawa bado tatizo linaendelea? mwee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…