simu yangu inanisumbua.Ni nokia 6500classic

Kitabu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
313
Reaction score
29
wakuu ninasimu aina ya nokia 6500c,system yake ya charge imeunganika na camera,sasa vyote vimekufa,nimehangaika kwa mafundi kadhaa lakini nimekosa matumaini,naamini kwenye jukwaa hili nitapata suluhisho,kimsingi simu bado naipenda ndo mana.Nawasilisha
 
wakuu hakuna mwenye maujuzi haya....????
 
mjema Junior, kama uko dar kuna fundi mmoja namuamini yuko tabata bima, alinirekebishia Navigator charging system na os yake. Uko huko nikupe namba
 
Last edited by a moderator:
mjema Junior, kama uko dar kuna fundi mmoja namuamini yuko tabata bima, alinirekebishia Navigator charging system na os yake. Uko huko nikupe namba

Nipo dar mkuu,naomba hiyo namba....
 
Last edited by a moderator:
Mkuu pole, nilikuwa out of coverage, na namba ilikuwa mbali.Anyway, jamaa hata jina sijamkariri. Ila namba yake hii hapa. 0714179191.Kama unahitaji backup niambie unaenda lini ili nimpigie kukurefer. Goodluck!
 
Nashukuru mkuu,ntakujuza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…