Simu yangu inakataa kujistore App ya google play

Joined
Aug 11, 2013
Posts
88
Reaction score
7
Sim yangu inakataa kujistore App ya google play Services
Na hivi ndo inavyojiandika angalieni hiyo picha,
 

Attachments

  • 1405174815355.jpg
    26.8 KB · Views: 328
Kama inakuzingua uza, usituweke bussy na mambo yasiyokuwa ya msingi. Watu temefunga bhana!
 
sjaelewa vzur hyo message hapo juuu bu something like your google account inatumika kwenye more than one device
 
Sim yangu inakataa kujistore App ya google play Services
Na hivi ndo inavyojiandika angalieni hiyo picha,

Google wanablock simu ambazo feki..ishamtokea mtu ninayemjua...hakikisha isiwe fake...kama sio fanya factory reset..
 
Sim yangu inakataa kujistore App ya google play Services
Na hivi ndo inavyojiandika angalieni hiyo picha,

Fanya factory reset, linganisha jina, IMEI, kampuni ilikotengenzwa na tarehe ya production ya hiyo simu kuona km ni halisi au feki kwa kutumia mtandao. Km feki haitakubali.
 
hio ni system app huwezi kuinstall from first time toka playstore inabidi iwepo kwenye simu kwanza halafu ndio kama inahitaji updates ndio utoe playstore.

na kama una playstore ina maana una play service sababu playstore hairun hadi kuwe na play service.

niulize tu swali why unainstall hio playservice?
 
chakufanya download gapps za rom unayotumia kisha flash gapps kama huwezi ntajie android version unayotumia kisha mm ntakutumia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ