Simu yangu ina tatizo la sauti ukipost videos Instagram

pwilo

JF-Expert Member
May 27, 2015
10,098
12,473
Wadau habari zenu ,
Kwa mda mrefu sasa simu yangu imekuwa na tatizo la video kutotoa sauti au kutoonyesha kabisa nikiipost Instagram

Lakini uki play kwenye gallery inakubali tatizo linakuja Niki appload Instagram anaejua anisaidie cc CHIEF MKWAWA
 
Chief mkwawa alishaonya kutaja jina lake, ukimtaja tu hupati msaada toka kwake
 
Unatumia simu gani?? Mara nying lowend smartphone 4.4 kurudi chini zinasumbua insta kupost video
 
simu yko version yke ya zamani....ila sauti huickii ww tu rfk zko watakaoiona iyo vdeo wataisikia....we post tymu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…