Simu yangu imegomea baadhi ya application

Simu yangu imegomea baadhi ya application

incredible terminator

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2016
Posts
2,530
Reaction score
4,274
Wakuu naamin mnaweza kunisaidia natumia simu ya Samsam J1 ila kuanzia jana kuna tatzo limetokea niktuma msg watsup haziend wala kupokea sms watsup pia upande wa Opera min haifunguki kabisa ina'load mda mrefu ila haifungui leo nilishauliwa kui'restore nika i'restore na nikadownload app mpya ya watsup nikaanza kuitumia kama kawaida nikapokea sms nyng tu ambazo zlikuwa hazjanifkia mda tangu sim ilipogoma kupokea notification had ilipozima chaji ila baada ya kuitoa chaj naona tena bado imerudia tatzo la awali ila insta naingia kama kawaida na jamii forum naingia ila tatzo saiz notification za jamii forum hazionekani kama ilivyokuwa awali nilikuwa najulishwa activity za jamii forum hata kama sipo online jf ila data zikiwa on nilikuwa napata notification ila kwa sasa sipati wakuu naombeni msaada wenu
 
hapo ingekuwa tecno watu wangejazaa server kwa povuuuu
 
kaka kuna setting za internet, WAP, web, nk kwenye mitandao yetu ya Tanzania. kama hauna setting za internet basi jua utapata matatizo mengi kama playstore kutofunguka, picha na video za Whatsapp hazidownload wakati msg zinakuja, opera inafunguka inabrowse ila app nyengine hazina internet etc

solution nenda setting halafu kwenye network click more network halafu mobile network halafu access point, angalia setting zako sio WAP? sio web? kwa uhakiki zaidi click add utengeneze setting mpya

connection name andika Tozy
APN andika internet

halafu click save

mbele ya setting mpya ya tozy utaona kiduara kiguse ili uiactivate hio setting.

hapo umemaliza angalia app zako kama zinafanya kazi
 
Mkuu nimefanikisha
 
Back
Top Bottom