Tatizo kama hilo huwa linatokana na ku update simu kila mara pia linatokana na virus kushambulia network file. Hii hupelekea simu kuanza kuleta shida mbalimbali za mtandao ikiwa ni pamoja na ceureler networks na internet.
Jaribu ku update system software kwenye settings na kama tatizo likiendelwa itahitaji ku repair network file kwa kutumia computer .
Kwa matatizo ya software na hardware wasiliana nami +255652816716 Whatsapp & call