Simu yangu haisomi baadhi ya line

Simu yangu haisomi baadhi ya line

hamjunior

Senior Member
Joined
Nov 4, 2016
Posts
102
Reaction score
37
Nina samsung galax A13 haisomi lain ya TTCL na airtel msaada kwa mwenye ujuzi na hili
 
Nina samsung galax a13 haisomi lain ya ttcl na airtel msaada kwa mwenye ujuzi na hili
Tatizo kama hilo huwa linatokana na ku update simu kila mara pia linatokana na virus kushambulia network file. Hii hupelekea simu kuanza kuleta shida mbalimbali za mtandao ikiwa ni pamoja na ceureler networks na internet.
Jaribu ku update system software kwenye settings na kama tatizo likiendelwa itahitaji ku repair network file kwa kutumia computer .

Kwa matatizo ya software na hardware wasiliana nami +255652816716 Whatsapp & call
 
Back
Top Bottom