Bokohalamu
Member
- Mar 13, 2012
- 94
- 8
Angalia preferred storage huenda msg zimejaa!
inabidi ukarenew line wenyewe wanaita ku swap
Angalia preferred storage huenda msg zimejaa!
1. Kama unahisi tatizo ni simu unayotumia,jaribu kutumia simu nyingine ya ndugu au rafiki yako kupokea sms.
2. Kama namba 1 itashindikana nenda kwa ofisi za mtandao wa simu wa line yako husika. Kunaweza kuwa kuna shida ktk configuration ya account yako katika either SMC au MSC.
Jaribu kubonyeza ##002#ok huenda ikawa ni SMS/data divergence
hakuna uhusiano mkuu,msg zikijaa bado simu itakua n uwezo wa kutuma sms,ila kwenye kupokea ndio utaona inakupa alert kwamba sms ipo hewani inabidi uongeze memory ili iingie.