trachomatis
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 3,758
- 746
Hakuna simu ya aina ya AT&T, hiyo ni kampuni ya simu kama ilivyo Voda.....Jamani.. Nimetumiwa zawadi ya simu hiyo hapo juu. Tatizo ni kwamba,access ya internet nimepata siku 3 tu za mwanzo kwa laini ya voda,halafu ikagoma.Hata ile alama ya 3G siipati. Nikaweka ya tiGO nayo ikagoma. Mpaka leo sina access. Pls nisaidieni.
Hakuna simu ya aina ya AT&T, hiyo ni kampuni ya simu kama ilivyo Voda.....
inatumia OS Gani mkuu?
hiyo simu huwezi pata huduma ya internet kwasababu mitambo yetu ni ya kizamani hiyo ni ya kisasa zaidi ni sawa na blackberry verizon zimetengenezwa kwa matumizi ya UK na USA tu hata ASIA kuna baadhi ya sehemu inakamata service ya internet na kwingine haikamati, tumia tu kupokela, kupiga na tukuma msg, ingawa unaweza ukaingia ktk FB basi ukaoma na kutuma even kudouwnload kwenye FB.
acha kuponda mitambo yetu, mbona yeye amesema alipata internet kwa mda wa siku 3, kama ingekuwa ni mitambo ya kishamba asingepata kabisa inavyoonyesha kuna katatizo kalitokea.
acha kuponda mitambo yetu, mbona yeye amesema alipata internet kwa mda wa siku 3, kama ingekuwa ni mitambo ya kishamba asingepata kabisa inavyoonyesha kuna katatizo kalitokea.
hiyo ni version ya os.nilitaka kujua kama ni windows,android etc..je model number au upload image yakeweb OS 1.4
hiyo ni version ya os.nilitaka kujua kama ni windows,android etc..je model number au upload image yake