Simu yako jembe lako

induna's

Member
Joined
Jul 26, 2014
Posts
40
Reaction score
3
Niwachache wenye kutafuta fursa, fursa yako mikononi mwako mtafutaji hachoki rifaro imekuwa karibu kukufikia ulipo kupitia simu yako jenga uchumi wako .

Rifaro inamjengea kila mtanzania bila kubagua kiwango cha elimu yake wahi ufaidi na fursa za rifaro katika kipato chako utashi wako ndio maendeleo yako kujifunza ndio kujua mengi fika ofisi zetu zipo kila mkoa wasiliana .

RIFARO AFRICA ni kampuni ni super dealer wa makampuni ya simu yaan Voda, Tigo, Zantel, Zirtel kampuni inadeal na airtime marketing,kwa kila mwanachama atakayetumia system ya Rifaro katika ununuzi wa vocha hurudishiwa 0.5%mara idadi ya vocha wanazotumia team yake .

Team inaanzia kizazi cha 1 hadi 15 team malipo hayo hufanyika mwisho wa mwezi pia kuna malipo ya week kwa mwanachama mpya aliyejiunga kwa code namba yako.

Rifaro inakuwa karibu kukupatia fursa mbalimbali kama kujifunza biashara na jinsi yakukuza kipato chako ,rifaro inampatia mwanachama ATM card ambayo itatumika katika malipo yako pia rifaro inakupatia kitabu cha biashara na cd kwa ajili ya mafunzo.

KARIBUNI SANA OFISINI
kujifunza ni kutengeneza fursa
Contact 0773341597
 
Mbona unaweweseka kwenye uandishi, unajua jamii forum n nini? Great thinkers, sasa tunaomba uandike upya huo Uzi wako naona una matege sijakuelewa.
 
Mbona unaweweseka kwenye uandishi, unajua jamii forum n nini? Great thinkers, sasa tunaomba uandike upya huo Uzi wako naona una matege sijakuelewa.

sasa hapo haijaeleweka nn?

soma kwa umakini ,cjaona nachoweweseka
 
Rifaro ni nini?

rifaro ni kampuni inayofanya airtime marketing

ni super dealer wa makampuni ya cmu za mkononi

ukinunua muda wa maongezi kupitia rifaro system unarudishiwa 0.5%ya faida wanazopata ×idad ya wanachama katika kizazi cha 1 hadi 5 na utalipwa 0.25%×idadi ya wanateam

mfano kuanzia kizazi cha 1hadi 5 na kila mmoja anatumia 20000 na unaidadi ya wanateam 1000 itakuwa hivi

20000×1000×0.5%=100,000 kila mwisho wa mwezi na hiyo ni idadi ndogo sana

tembelea ofisi zetu elimu bure kujiunga hiari
 
ofisi zenu zipo wapi? au tutajua kwa roho mtakatifu mkuu
 
Rifaro kirefu chake ni nini?
 
Ina maana ili nipate hiyo laki moja kwa mwezi natakiwa niwe na team ya hao watu 1,000 na kila mtu atumie 20,000 kwa mwezi? Duh!!!! Kazi ipo
 
Ina maana ili nipate hiyo laki moja kwa mwezi natakiwa niwe na team ya hao watu 1,000 na kila mtu atumie 20,000 kwa mwezi? Duh!!!! Kazi ipo

inakuwa hivi ww unatafuta watu 10 then hao kumi kila mmoja akatafuta kumi then chen inaendelea hadi chain inakuwa kubwa co kazi tembelea ofisi utapewa elimu practicaly kazi ya kujenga team c ww tu

hiyo ni mfano huduma inalipa

hiv watu hao kumi kila mmoja akaleta kumi hujafikisha mia chain itendelea hadi kizazi cha 15

kizaxi cha kwanza wale waliojiunga kwa code namba yako
kizazi cha pili wale walioungwa na kizaxi chako cha kwanza then hao watakuwa kizazi cha kwanza kwa wale kizazi cha pili

ni biashara ya chain hadi utashanga utakuwa na team ya hadi laki mmoja hivyo hivyo wataongezeka tu pia kun malipo ya week

umenielewa
 
Rifaro kirefu chake ni nini?

hiyo ni kampuni hakina kirefu RFA kwa wanaofupisha but JINA KAMILI RIFARO AFRIKA TEMBELEA OFISI ILI UPATE ELIMU ZAID NA JINSI INAVYOFANYA KAZI

tujenge mazoea kutafuta fursa

fursa ni hiyo kaka
 

co laxima utumie 20000 elfu

lakin nikuulize kwa mwezi huwezi tumia hiyo kiasi

je ulishawahi tasmini kiwango cha vocha unayotumia?


kuna watu wanatumia hadi 100000
je huoni ni nfasi ni fursa jaribu kufika ofisin

niambie upo wapi nikuelekeze ofisi
 
hiyo ni kampuni hakina kirefu RFA kwa wanaofupisha but JINA KAMILI RIFARO AFRIKA TEMBELEA OFISI ILI UPATE ELIMU ZAID NA JINSI INAVYOFANYA KAZI

tujenge mazoea kutafuta fursa

fursa ni hiyo kaka

fursa ya kuwatajirisha
 
fursa ya kuwatajirisha

ungejaribu kupata elimu kuliko kuamini kuwa unatajirisha wengine


kiukweli ni katika fikra za kawaida kuamini unawatajirisha wengine

fursa ni njia pekee yakujitathimin katika maisha yako
 
Mpaka ofisini tena hapa haiwezekani..

nikikwambia bei hata elimu yakutosha hujapata ni bure jamsingi kapate elimu zaidi


utakuta bei yakujiungia na hata nikitaja bei sahiv bila kujua umuhimu wa kampuni kwako

pia kampuni inatoa nafasi kwa mteja kurudia nakujifunza semina kwa hiari yake mpka ajifunze ndio ajiunge
 

The same as forever living products, or gnlg. Network market.
 
Haya ni yale yale ya forever living,hatujiii!!!! Huwezi kutajirika kirahisi hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…