Habari za saa hizi wadau:Naomba kwa yeyote anayefahamu zinapo patikana simu aina ya TECNO F7 Phantom A jijini Dar es salaam anijuze.Naitafuta hii simu ninunue,please kama bei inafahamika itakuwa vizuri ikitajwa hapa,asanteni.