Simu ya startimes inauzwa

Simu ya startimes inauzwa

otti

Member
Joined
Jul 16, 2012
Posts
36
Reaction score
0
Simu ya startimes inauzwa...ni android.touch screen 3.5 inch.ina application ya digital tv(unaangalia tv bila kulipia),Bluetooth.fm radio.camera,WiFi,memory card 4gb.1year guarantee..bei sh.80,000/=....ipo Dar..ni pm unaletewa.
 
jua linawaka hadi mifukoni mkuu japo simu naitaka ...ila bishara maelewano acha kuwa mkuda kudadadeki!!!!!! we ndo unauza?

Pole sana kwa jua kuikuwakia,
Basi we sema nae tu, anaweza akashusha!!
 
Ni toleo la startimes wenyewe.ndio maana inaking'amuz chao
 
Back
Top Bottom