mr_stev001
Senior Member
- Feb 4, 2023
- 159
- 222
Itaendelea au?Mama: calling--------
mimi: hellow mama shkamoo
Mama: marahaba baba za uzima
mimi: njema mamaangu mungu anasaidia vipi nyie hukoo
mama: huku kwema baba ile hela nimepata asnte mungu akubariki π
mimi : ahaaah ππusijar mamaangu nikawaida
mama: sawa mwanangu uwe na asubhi njemaa
mimi :asntee mama ilove β€οΈβ€οΈβ€οΈ
call ended
inaendelea simu ya mzeeπItaendelea au?
Tuwekee na yenyewe tuone inakuajesimu ya mpenzi sasa πππ duuu
haaa usijarTuwekee na yenyewe tuone inakuaje
Toka upate mkopo batch ya 5 saahz ni kutuma Hela tu.. Haina nomaMama: calling--------
mimi: hellow mama shkamoo
Mama: marahaba baba za uzima
mimi: njema mamaangu mungu anasaidia vipi nyie hukoo
mama: huku kwema baba ile hela nimepata asnte mungu akubariki π
mimi : ahaaah ππusijar mamaangu nikawaida
mama: sawa mwanangu uwe na asubhi njemaa
mimi :asntee mama ilove β€οΈβ€οΈβ€οΈ
call ended
πππππ tena unamtumia mamako mim hunitumiiiToka upate mkopo batch ya 5 saahz ni kutuma Hela tu.. Haina noma
πNice