IJUE SIMU YA KWANZA ISIYO TUMIA WAYA(wireless).
Motorola ndo simu ya kwanza kutengenezwa isiyo tumia waya ukiachana na simu ya kwanza iliyo vumbuliwa na Alexander Graham Bell.
Motorola ilitengenezwa tr 3-4-1973 na Martin Cooper huko Schaumburg Illinois, Chicago, USA. Ikiwa na uzito wa 2kg ikichajiwa kwa masaa 12 na kukaa na chaji nusu saa(ยฝhour).
Mgunduzi wa simu hii alizaliwa 26-12-1928 huko Schaumburg Illinois, Chicago, USA akiwa na umri wa miaka 45 na akiwa na elimu ya PhD ndo alipo igundua simu hii.
Na
Emmanuel Kasomi