Ntaitaka hiiiMkuu tafuta infinix [emoji91] hot s x557. Ram 2gb internal storage 16gb. Camera mbele 5 MP na nyuma 8mp. Bettry 4000mahr. Connectivity 2&3G only.
Iko powa sana. Ninayo inakaaa na charge zaidi ya siku moja ikiwa connected na internet muda wote. Sijawahi kuzima data
Bei btn 290~300k
Mwenye kuhitaji hii simu anicheki. Aje na 250kMkuu tafuta infinix [emoji91] hot s x557. Ram 2gb internal storage 16gb. Camera mbele 5 MP na nyuma 8mp. Bettry 4000mahr. Connectivity 2&3G only.
Iko powa sana. Ninayo inakaaa na charge zaidi ya siku moja ikiwa connected na internet muda wote. Sijawahi kuzima data
Bei btn 290~300k
Unayo mpya au used?
Thanx kwa kunielimisha...kwa kweliWewe unaonekana maskini kama Mimi. Si kila mtu anahangaika kutafuta mtaji wengine walishatoka kitambo....unapopambana na hali yako usitingishe ya wenzio
Sent using Jamii Forums mobile app
Mie sio muuzaji. Hiyo ni average price Y maduka ya darslam. Kwa Sasa Unaweza ikawa imeshuka kidogo.Ntaitaka hiii
Mmmh hiyo betri isiyotoka ndo mbaya so infinix zote betri zake hazitoki?Mie sio muuzaji. Hiyo ni average price Y maduka ya darslam. Kwa Sasa Unaweza ikawa imeshuka kidogo.
Ila tu inakuja betrery isiyotoka[emoji26]
Ha ha ata Sijui Ila ndo hivo. Battery zake hazitoki. Ila simu iko powa sana.Mmmh hiyo betri isiyotoka ndo mbaya so infinix zote betri zake hazitoki?
Ouky ngoja niichekiHa ha ata Sijui Ila ndo hivo. Battery zake hazitoki. Ila simu iko powa sana.
Unaweza ichek google specifications zake
PoaOuky ngoja niicheki
hii product broo kiukweli cjaiona hata mm nilimuona nayo mzungu nikaimind kinoumaa
ahaa kumbe ushaipata ila binafsi nimeipenda sana battrey so ishu hata kufanyia maujanja inawezekanaOuky ngoja niicheki
Maujanja yapi tena?ahaa kumbe ushaipata ila binafsi nimeipenda sana battrey so ishu hata kufanyia maujanja inawezekana
We jamaa mbabe.Nahitaji simu nzuri kwa kama milioni moja na laki saba hivi sitaki samsung wala iphone, hata ikifika milioni mbili kamili sio mbaya maana ndo mwishowa bajeti yangu kwa simu.