๐—ฆ๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ ๐—”๐˜€๐˜‚๐˜€ ๐—ญ๐—ฒ๐—ป๐—ณ๐—ผ๐—ป๐—ฒ ๐Ÿญ๐Ÿฎ ๐—จ๐—น๐˜๐—ฟ๐—ฎ ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—ฝ๐—ผ๐—ธ๐—ฒ๐—ฎ ๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ฟ๐—ผ๐—ถ๐—ฑ ๐Ÿญ๐Ÿฒ

๐—ฆ๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ ๐—”๐˜€๐˜‚๐˜€ ๐—ญ๐—ฒ๐—ป๐—ณ๐—ผ๐—ป๐—ฒ ๐Ÿญ๐Ÿฎ ๐—จ๐—น๐˜๐—ฟ๐—ฎ ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—ฝ๐—ผ๐—ธ๐—ฒ๐—ฎ ๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ฟ๐—ผ๐—ถ๐—ฑ ๐Ÿญ๐Ÿฒ

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,221
Reaction score
2,425
1_20250819_214001_0000.png


๐Ÿ—ฏ๏ธ Kwa kuwa toleo jipya la Android 16 limeshatolewa tutegemee vifaa vingi vya android OEM kuweza kupokea toleo hili jipya kwenye vifaa vyao, Samsung wao teyari wameshatoa kupitia toleo jipya la Samsung OneUi version 8.

2_20250819_214001_0001.png


๐Ÿ—ฏ๏ธ Kampuni nyingine ni OnePlus, Kampuni ya Asus imejiunga kwenye orodha hiyo baada ya simu yao ya Asus Zenfone 12 ultra kuweza kupokea toleo jipya la Android version 16. Taarifa hiyo ilitolewa kupitia mtandao wa X wakisema android 16 itapatikana kwenye simu zao za flagship.

images (30).jpeg


๐Ÿ—ฏ๏ธ Kama unatumia Simu ya Zenfone 12 ultra unapaswa kuingia settings kisha system halafu system update Utaweza kupokea android version 16 lakini Kumbuka ukifanikiwa kufanya update ya android version 16 basi h
Hutaweza tena kurudi kwenye toleo la zamani la android version 15.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom