filis JF-Expert Member Joined Aug 25, 2017 Posts 323 Reaction score 263 Aug 30, 2017 #1 Habari zenu, Naomba kuuliza eti simu ya Android aina ya wiko jelly ni shiling ngapi bei yake kwa anaejua anisaidie. Asante. Sent using Jamii Forums mobile app
Habari zenu, Naomba kuuliza eti simu ya Android aina ya wiko jelly ni shiling ngapi bei yake kwa anaejua anisaidie. Asante. Sent using Jamii Forums mobile app
sergio 5 JF-Expert Member Joined May 22, 2017 Posts 9,858 Reaction score 11,463 Aug 30, 2017 #2 Subiri kidogo
Ettore Bugatti JF-Expert Member Joined Aug 28, 2017 Posts 4,123 Reaction score 8,253 Aug 30, 2017 #3 Ni pm bibie, nikupe bure, hiyo pesa ambayo unataka kununua hiyo simu, ukafanyie mambo mengine ya msingi. Sawa?!
Ni pm bibie, nikupe bure, hiyo pesa ambayo unataka kununua hiyo simu, ukafanyie mambo mengine ya msingi. Sawa?!
No SQL JF-Expert Member Joined Nov 8, 2014 Posts 7,378 Reaction score 13,446 Aug 31, 2017 #4 Kuna moja niliiona kkoo kweny duka la simu used..bei ilikuwa 500k wakadai ni simu za france...sasa kuipata tena sidhani
Kuna moja niliiona kkoo kweny duka la simu used..bei ilikuwa 500k wakadai ni simu za france...sasa kuipata tena sidhani